Jinsi ya kutoa Michirizi ya mwilini


 Tatizo la kutokea kwa michirizi Mwilini

inaweza sababishwa na  madhara ya kunywa madawa ya aina fulani, au ukipaka mafuta, au krimu kali kwenye ngozi husababisha uharibifu wa ngozi nanakutokea kwaa michirizi hiyo {Stretch marks}. Uzuri ni kuwa, huu si ugonjwa. Waweza kuondoa michirizi hiyo au kupunguza kwa asilimia kubwa muonekano wake.



Uwapo wa michirizi mwilini ni tatizo linalowasumbua wengi.
 Michirizi huweza kutokea shingoni,tumboni,mikononi,mapajani na hata kiunoni. 
Watu wengi huangaika  kutafuta dawa ya kuondoa tatizo hilo bila mafanikio. Ni tatizo linaloleta muenekano mbaya hasa mhusika akivaa nguo za wazi. 


Moja ya njia ya kutoa michirizi ya mwili 

 Unywaji wa maji mengi,angalau glasi kumi kwa siku,ulaji wa mboga za majanu na vyakula vyenye wingi wa vitamin C na E sambamba na madini ya Zinc na Silica ikiwamo karoti,spinachi na maharage mabichi. Vilevile matumizi ya juisi ya limao ambayo unaweza kuipaka kwenye maeneo yenye michirizi. Unapotumia njia hii hakikisha limeingia vizuri kwenye ngozi yenye michirizi kwa angalau dakika 15 halafu nawa na maji ya uvuguvugu. Njia nyingine ni matumizi ya viazi mduara. Katakata vipande vyembamba na kisha jipake kwenye maeneo yaliyoathirika


Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........