Mama aliyekutwa barabarani amekaa na Ungo
mama huyo alionekanai katikati ya barabara akiwa mtupu na pembeni kukiwa na ungo na mkoba, jambao lililovuta hisia za wengi na kulazimika kusogea karibu na eneo hilo kushuhudia kwa ukaribu ili kubaini kilichojiri.
kila mtu alikuwa na mawazo tofauti juu ya mama huyo..
japo kuna taarifa kuwa mamahuyu alikuwa akiwasiliana na mtu yaani kama mganga kuwa afanye vitu hivyo iliwachawi waje kumchukua hapo hapo (na inasemekana watu hao ni matapeli wamemchezea mama huyu kiakili ilikumtapeli na mama huyo akafanya kama alivyoagizwa)na ayeyuke .. wengine wanasema hana akili vizuri ..

tutakapo pata habari kamili tutaziweka hewani