JINSI YA KUFANYA USAFI WA CHUMBA CHA KULALA



Chumba chako lazima ukihifadhi vizuri kwa sababu ndio mahali ambapo unapatumia wakati ukiwa umechoka na unahitaji upumzike.Ni sehem ambapo unahitaji kuondoa mawazo zote na kutuliza mwili na akili, pia ni mahali ambapo kwa wewe uliyekwenye ndoa unapata faragha ya kutosha kuwa na mweza wako.

kutokana na kuwepo kwa chumba cha kulala basi ni vizuri kikawa na mwonekano utakaokufanya vizuri ukiwa ndani ya chumba chako maana ndio sehemu ya kukuondolea uchovu na mawazsio vizuri chumba kionekane kikiwa kimejaa uchafu kama makaratasi au vitabu kila mahali bila mpangilio mzuri.

pangilia vitu vyako vizuri ilikuleta mvuto ndani ya chumba chakio cha kulala,sio chumba kinakuwa kama store ya kuhifadhia mazao yakiisha vundwaChumba kinaongezeka mvuto pale unapokipamba kwa maua, fremu za picha, mapazia mazuri na pia kapeti zuri la kuvutia. kwa wale nye familia unaweza weka picha ukiwa na familia yako au mkeo/mumeo ukutani au mezani 


Nguo ziwe zimepangwa vizuri kabatini au sandukuni na zile chafu zikae mahali pake kwenye kapu la nguo chafu. Usiache nguo zinaning’inia kila mahali kwenye milango, madirisha, besele n.k maana inafanya chumba kiwe kimejaa na kuondoa mvuto.

kama kuna nguo za watoto zisizovaliwa, miavuli, makoti ya mvua, na midoli ya watoto basi unaweza ukatafuta hata begi au sanduku ukaviweka humo ilikuleta muonekano mzuri,pia itasaidia kuondoa mlundikano wa vitu chumbani pia mwanga ndani ya chumba,chumba kinapopata  mwanga wakutosha huvutia zaidi  na kuwa na hewa ya kutosha.unaweza ukawa ni mwanga wa taa au unaotoka madirishani  

kifanye chumba chako kipendeze muda wote na kiwe na muonekano mzuri,kama unweza kuweka mazingira mazuri ya sebuleni basi hata chumbani fanya hivyo Chumba kinaongezeka mvuto pale unapokipamba kwa maua, fremu za picha, mapazia mazuri na pia kapeti zuri la kuvutia. kwa wale nye familia unaweza weka picha ukiwa na familia yako au mkeo/mumeo ukutani au mezani tandika mashuka mazuri yneye kuvutia na yenye kuvutia. Mashuka mazuri yanakufanya ujisikie vizuri unapokuwa chumbani na vilevile unapokuwa umelala.
Hakikisha unayafanyia usafi mara kwa mara na kuyabadilisha badilisha sio kila siku mashuka hayo hayo (kauka nikuvae). Wewe pia ni pambo mojawapo la chumba, hakikisha unakuwa na nguo nzuri za kulalia zenye kuvutia na kukufanya ujisikie vizuri na mwenye kuvutia.


Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........