Posts

Divock Origi Included in Liverpool Squad for Europa League Final

Image
The ​ Mirror  reports that Divock Origi joined his Liverpool teammates on the flight to Basel on Monday, ahead of their Europa League Final match against Sevilla. It is understood that the Belgian striker has completed two full-on training sessions without any concern over the ankle ligament injury he sustained in the Merseyside derby on April 20. As such, it is likely that Origi, who has played a vital role in Liverpool's Europa League campaign this season, will be named in the 18-man match-day squad that will set out to upset the Sevilla hat-trick of Europa League trophies. When Origi sustained the injury after a crunching tackle from Everton's Ramiro Funes Mori, medics were doubtful that he'd make it to the final. But he's clearly nursed the injury well and looks to feature on the bench, alongside fellow recovering teammate Jordan Henderson, who also flew out.  Jurgen Klopp will more than likely field the same team that beat Villarreal ...

Usajili: Tottenham mbioni kumsajili Andre Schurrle

Image
Tottenham mbioni kumsajili Andre Schurrle ..tottenham imetoa donge nono la £22m    kumrudisha mchezaji  wa zamani wa chelsea katika ligi kuu England ilikuja kuongeza nguvu ya kikosi cha kocha Mauricio Pochettino

Usajili EPL ;Liverpool Striker Jerome Sinclair to Sign for Watford on July 1

Image
Forward  wa Liverpool Jerome Sinlcer anajiandaa kwenda timu ya Watford according to  ​Sky Sports . japo amejumuishwa kwenye kikosi kitakacho pambana kwenye fainal ya Europa League

MICHEZO: Zlatan kupewa ofa ya mkataba na Man United

Image
Zlatan Ibrahimovic bado hajapokea ofa rasmi ya mkataba kutoka kwa Manchester United, wakala wake amethibitisha usiku wa kuamkia leo. Mapema leo, siku kadhaa kabla ya Ibrahimovic kuichezea Paris Saint Germain mchezo wa mwisho, Radio RMC France imeripoti kwamba United tayari wameshampa mshambuliaji huyo wa Sweden mkataba wa mwaka mmoja. Lakini wakala wa mchezaji huyo Mino Raiola alionge na Sky Sports News na kukanusha taarifa hizo. “Kwenye dunia ya sasa inabidi tukubaliane na ukweli kwamba kuna baadhi ya waandishi wa habari hutengeneza story – hii sio taarifa ya kweli,” alisema Raiola. RMC Radio ndio kituo cha habari ambacho kwa mara ya kwanza walianza kuripoti usajili wa mshambuliaji Anthony Martial kutoka Monaco kwenda Man United, leo waliripoti kwamba tayari United wamempa ofa ya mkataba wa mwaka mmoja Zlatan kujiunga nao mara Jose Mourinho atakapopewa timu kuiongoza. Ibrahimovic Alithibitisha Ijumaa iliyopita kwamba angeondoka PSG mwishonu mwa msimu na kuna b...

Ray Kigosi apata shavu nchini Rwanda

Image
                                 yeye mwenye asema  "Nipo nchini Rwanda nimekuja kushoot movie inayoshirikisha nchi mbili Tanzania na Rwanda ni msanii pekee toka Tanzania niliyechaguliwa kuja kufanya movie hapa nchini Rwanda nina imani sitowaangusha Watanzania wenzangu hapa ni kazi tu.

WEMA SEPETU Amemjibu ZARI kwa picha

Image
                 Wema aliamua  kupiga picha iliyo kwenye pozi kama lile la Zari na Diamond huku Wema na jamaa yake huyo  wakiwa wamevaa nguo kama zile walizovaa Zari na Diamond .

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

Image
                                                       Mwanamke mnene anajua kulia vilio vya kumfanya mwnaume akajiona yuko dunia nyingine, ni mtamu sana, ana joto kali sana ndani ya uke, ana  nyamanyama ambazo hazimuumizi mwanaume wakati wa kutoa mastyle, mwanamke mnene akikaa style ya chuma mboga basi lile sponji la nyuma loooote lasababisha maangamizi ya muda mfupi kwa abdalah kichwa wazi , mwanamke mnene ana degree ya kwenda miondoko ya r ...N b kitandani ambayo huwa so romantic na haitoi jasho, mwanamke mnene akivua nguo akalala kifudifudi basi mkaka hata kama anaangalia mpira lzm atadata, mwanamke mnene ana sifa ya kukojoa bila kumwaga maji mengi. ni kwa wali wanaojijua tuu yaani wasafi ki mwili ma...

GADNER NA GIGY MONEY ..Kunani...?

Image
GIGY MONEY ANENA..............Kwani kuna tatizo nikiwa na Gardner? Yule ni mtu muelewa na sahihi kwangu, ninafikiri kupitia yeye nitajifunza mambo mengi na kuzidi kufanikiwa kwa sababu yeye ni moja kati ya watu ambao wako kwenye tasnia ya burudani kwa muda mrefu,” alisema Giggy Money.

MICHEZO; Maharez awa tishio FACEBOOK

Image
 Staa wa LEICESTER CITY na timu ya taifa ya ALGERIA amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii,baada ya kunyakuwa tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa mtandao wa FACEBOOK. kwenye tuzo hiyo Mahrez amembwaka staa mwenzake ambae  ni JAMIE VARDY

Mirror ft Barakah da Prince..naogopa lyrics /mashairi

Image
[Intro] [Mirror] Kama nyota na mwezi angani Kama nyota na mwezi angani [Barakah Da Prince] Mwenzenu naogopa kuumia Mwenzenu naogopa kuumia [Verse 1 – Mirror] Usinipe namba ka unajua utajakuniuma Kupenda sio shamba, natamani na moyo unaniuma Mi mwana masikini kipato kidogo (kidogo) Uje uniache mimi uende kwa vigogo (ah vigogo) [Pre-Chorus – Mirror] Hata kama sipo Pendo langu lipo Mvua na mafuriko Hapa mbele ya maandiko Milele mpaka kifo Kwamba mi ni wako Wako, uh [Chorus – Barakah Da Prince] Sijutii maamuzi yangu ila naogopa kuumia Ndipo ilipo furaha yangu baby naogopa kuumia Usije ponza hisia zangu mwenzio naogopa kuumia Mapenzi ndio furaha yangu mwenzenu naogopa kuumia [Verse 2 – Mirror] Kama nyota na mwezi angani, niwe karibu nawe Natamani hata kama ungenipenda mimi tu (mimi tu) Ila kwingine usitamani, my baby, tuwe mimi nawe Natamani hata kama ungenipenda mimi tu (mimi tu) [Pre-Chorus – Mirror] Hata kama sipo Pendo langu lipo Mvua na mafuriko Hapa mbele ya maandiko ...

AJALI: Basi latumbukia kivukoni

Image
Inasemekana basi hilo lilikuwa linafanmya safari zake kutoka TANGA,DSM mpaka MOMBASA lilipatwa na dhuruba hiyo katika kivuko cha LIKONI kilichopo nchi ya KENYA. Hakuna taarifa juu wa ABIRIA WALIOKUWEMO HUO.. Narrow accident to the Mombasa Tanga Darassalam bound bus at Likoni Channel in Mombasa County.

KINYAMBE AFARIKI DUNIA..

Image
 R.I.P                                           Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwako Mbeya. Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitishia kuwa msanii huyo ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa