Posts

Inashauriwa kukojoa baada ya Tendo la ndoa kufanyika

Image
Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu na uchovu ujikuta katika usingizi mzito na kusahau tendo hili muhimu baada ya kufika kileleni. Umuhimu wa tendo hili ni kupunguza na kuzuia uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya njia ya mkojo(U.T.I) na magonjwa ya zinaa(S.T.I) Ikumbukwe kuwa tendo la ndoa huongeza presha kwenye kibofu na kusababisha hamu ya kukojoa kila baada ya tendo hali inayokuwezesha kuondoa vimelea vya magonjwa mbali mbali kabla ya kusambaa kwenye kibofu na sehemu nyingine za mwili kusababisha matatizo makubwa. kwa wanaotumia kondomo pia unashauriwa kufanya hivo endapo itapasuka sambamba na kusafisha sehemu za uke na uume kwa maji safi na sabuni. kwa wanaofanya mapenzi ya mdomo(chumvini na kulamba kone) unashauriwa kutoingiza shahawa, maji maji ya uke/ume na damu mdomoni kwani kuna hatari kubwa ya kuambukizwa magonj...

MUHIMU: Njia rahisi ya kuzuia ugonjwa wa U.T.I

Image
Kunywa maji mengi kiasi cha glasi 6 mpaka 8 itakusaidia kukojoa mara kwa mara na hupunguza idadi ya maambukizi katika njia ya mkojo. Epuka vyakula na vinywaji vinavyoweza kukuweka katika hatari ya maambukizi, kama kahawa na pombe ambavyo hupunguza kinga za mwili. Safisha njia ya mkojo(Urethra) kila baada ya kukojoa na kufanya tendo la ndoa kuanzia mbele kuelekea nyuma ili kuepuka wadudu katika njia ya haja kubwa kuingia katika njia ya mkojo Epuka dawa na poda zinazopuliziwa katika njia ya haja ndogo au kuingiza vitu au vidole pasipostahili huweza kuchubua sehemu hizo na kufanya urahisi wa maambukizi. Vaa nguo za ndani asili ya pamba na zisizobana sana kuacha hewa ya kutosha ili kupunguza maambukizi. Usibane mkojo kila unapojisikia kwenda haja fanya hivyo ili kuepuka wadudu kusukumwa na kusambaa katika kibovu na figo. Usilale au kukaa kwa kukunja miguu muda mrefu kwani utawatengenezea mazingira mazuri wadudu ya kuzaliana na kusambaa sehemu za juu za mwi...

Kadi ya KIJANI yaanza kutumika kwenye Soccer

Image
historia mpya imewekwa nchini Italy baada ya mshambuliaji wa Vicenza inayoshiriki Ligi ya Serie B, Cristian Galano kuzawadiwa kadi ya kijani kwa kucheza mchezo wa kiungwana (fair play). Maafisa wa soka nchini Italy mwanzoni mwa msimu huu walitangaza matumizi ya kadi hiyo na kusema mchezaji atayekuwa na kadi nyingi zaidi za kijani atapewa zawadi mwishoni mwa msimu. Kadi hiyo ilitolewa baada ya Galano kukiri kwa mwamuzi kuwa, hakukuwa na beki yeyote wa Virtus Entella aliyegusa mpira ambao mwamuzi Marco Mainardi aliamuru kupigwa kona. Rais wa Serie B Andrea Abodi amekiri kwamba kadi hiyo ipo kama alama tu, lakini yenye mantiki ya kuifanya ligi hiyo kuwa na mtazamo chanya kufuatia kukabiliwa na tuhuma mbalimbali za upangaji matokeo. “Ni kadi ambayo ipo kama alama tu,” amesema “Ni kitu rahisi tu. jambo muhimu hapa ni kujua tu kwamba mtu hupewa pindi anapofanya jambo la kiweledi zaidi. “Sisi tunaamini kwamba mchezo wa soka unahitaji ujumbe weye kuijenga jamii yenye mta...

ALI KIBA Amlaumu Meneja Wa Diamond kwa Kukatizwa Kwa Show Yake Kabla Ya ...

Image
Alikiba Aweka Wazi Kilichosababisha Akatize Show Yake, Pia Asema Haelewi Mbona Meneja Wa Diamond,Sallam Alikuwa Backstage Wakati Akiperform

Lyrics: Diamond Platnumz ft. Raymond Rayvanny – Salome

Image
Lyrics Of Salome By Diamond Platnumz Ft. Rayvanny  [Verse – 1] Kioo akidanganyi mama umejipodoa umepodoka Mwendo na shepu vyote mwanana Mimi suruari yanidondoka Tukimbizane nini salome wangu? Iyo michezo ya jogoo Mbona watizama chini salome wangu Ukimuona jongoo Inama kidogo shika magoti Nimesimama kama ngongoti Mtoto jojo sio roboti Chumbani bingili bingili sambasoti [Chorus] Unanitekenyaga ukinyonga salome Unanitekenyaga ukinyonga Unatikenyaga ukinyonga kweli Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha! Hoera makulu vane, hoera ngambe Hoera na Zari, hoera ngambe [Verse – 2] Utamu kolea aprokoto Ting’ari ting’ari ndani kwa moto Nitamnyongea msokoto Niteme sumu kali kama koboko Eeeh Mapenzi yananipa shida Shida maama ni donda lisilokuwa na tiba Tiba bwana usije baby kanicharanga Kanichambua moyo kama karanga Mie baby kwenye msambwanda, huwa siendagi ngenge ni nganganga. [Chorus] Unanitekenyaga ukinyonga salome Unanitekenyaga ukinyonga Unatikenyaga ...

Diamond Platnumz ft Rayvanny Salome ( Traditional Official Music video)

Image

Satelaiti ya Facebook ya kufikisha mtandao kasi Afrika yaharibiwa

Image
 Mwanzilishi wa kampuni ya Facebook Mark Zuckerberg amelezea kusikitishwa kwake baada ya satelaiti ambayo Facebook ingeitumia kwa mawasiliano ya kasi ya mtandao wa intaneti barani Afrika kuharibiwa. Satelaiti hiyo iliharibiwa katika mlipuko uliotokea eneo la Cape Canaveral jimbo la Florida, Marekani siku ya Alhamisi. Satelaiti hiyo kwa jina Amos-Six ilikuwa imebebwa na roketi ya Falcon Nine ambayo ililipuka ilipokuwa ikifanyiwa majaribio ya kujiandaa kwa safari ya siku ya Jumamosi. Mlipuko huo ulitokea wakati roketi hiyo ilikuwa ikijazwa mafuta na kutikiza majengo yaliyokuwa umbali wa kilomita kadha. Bw Zuckerberg, ambaye yumo ziarani Afrika, amesema "nimesikitishwa sana" kusikia kwamba satelaiti hiyo iliharibiwa. "Tutaendelea kujitolea katika lengo lengo la kufikisha huduma ya mtandao kwa kila mtu na tutatia bidii hadi kila mtu apate nafasi na manufaa ambayo yangetokana na satelaiti hii," aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook. ...

Mwanzilishi wa kampuni ya facebook Mark Zuckerberg amezuru nchini Kenya

Image
Mwanzilishi wa kampuni ya facebook Mark Zuckerberg amezuru nchini Kenya katika ziara yake ya mataifa ya bara Afrika. Zuckerberg aliyewasili siku ya Jumatano kutoka nchini Nigeria alifanya kikao na waziri wa habari nchini Kenya Joseph Mucheru,ambapo walizungumza kuhusu mtandao na mipango ya serikali kuhakikisha kila kijiji kimeunganishwa na mtandao. Baadaye Zuckerbag aliekea katika hoteli ya Mama Oliech katika chakula cha mchana ambapo kwa mara ya kwanza alikula Ugali na Samaki. ''Swala muhimu ninapozuru taifa lolote jipya ni kujaribu kula chakula chao.Nilipenda sana ugali na samaki mzima wa tilapia'',alisema Zuckerberg.

ATUMIA 33MILION KUONGEZA TITI LA TATU

Image
ATUMIA 33MILION KUONGEZA TITI LA TATU Msichana wa umri wa miaka 21 anayejulikana kwa jina la Jasmine Tridevil( sio jina Halisi), mkazim wa kitongoji cha Tampa jijini Florida nchini marekani anayejishughulisha na kufanyia watu massage,amelipia dola 20,000 kwa ajili ya upasuwaji kuongeza titi la tatu ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania 33.4. katika mahojiano na kituo cha redio nchini marekani, mwanadada huyo alisema ameamua kuongezea titi la tatu ili kupunguza mvuto kwa wanaume,kwani hataki kuwa na mpenzi. Jasmine amesambaza picha zake mpya akiwa katika vazi la bikini kupitia ukurasa wake wa Facebook baada ya upasuaji huo. Mrembo huyo amedai kuwa amekanwa na mama yake mzazi pamoja na dada yake. "Mama yangu alikimbia, hataki kuongea na mimi wala hataki dada yangu aongee na mimi baada ya kuongeza titi la tatu," Alisema Tridevil Mbali na furaha aliyonayo mrembo huyo, bado anadai titi lake la tatu halifanani na mengine. Tridevil analazimika pia kuji...

UREMBO..: MISHONO YA VITENGE

Image
pata mionekano mbalimbali ya mishono ya vitenge. karibuni

Mjue Msanii Wako: Diamond Platnumz

Image

DAWA YA MAUMIVU MAKALI YA MAGOTI/ MATATIZO YA MIFUPA

Image
MAUMIVU MAKALI YA MAGOTI/ MATATIZO YA MIFUPA ?(OSTEOPOROSIS) Huu ni ugonjwa ambao hutokea ambapo uimara wa mifupa unapopungua hivyo kuwa na asilimia uwezrkano mkubwa wa kuweza kupatampasuko au kuvunjika kwa urahisi na mara nyingi ugonjwa huu huambatana na maumivu makali ya mifupa. Ugonjwa huu unaweza kutokea iwapo kutakuwa na mabadiliko ya hormoni,upungufu wa madini kama calicium au vitamin D. Mifupa ina madini ambayo hutumika mwilini na kurejeshwa ili kuufanya mfupa uweimara na kuujenga, endapo yatatumika zaidi kuliko kurejeshwa katika mifupa,mifupa hudhoofu na hukosa uimara na hupunguza uzito.(normal peak bone mass is greater than normal bone loss) Uzito wa mfupa kwa kawaida kwa mtu kijana huwa ni 2.5 standard deviations uzito chini ya huo mtu anaweza kupata (Osteoporosis) tatizo la mifupa. Utajua uzito huo kwa vipimo maalumu yani kwa dual energy X-ray absorptiometry. Mara nyingi tatizo hili la mifupa hutokea katika uti wa mgongo (huweza kusababisha mgongo kup...