Posts

MDALASINI HUSAIDIA KUSAFISHA DAMU MWILINI

Image
Muarobaini unatibu maradhi mengi yakiwemo ya kwenye mfumo wa damu, lakini dawa mbadala nzuri zaidi kwa kutibu matatizo yanayotokana na damu ni magome ya mdalasini. Magome ya mdalasini huweza kutoa nafuu na kutibu magonjwa mbalimbali kama vile malaria, shinikizo la damu, kisukari, hedhi zenye maumivu na zisizokoma, mapele, ukurutu na mapunye ya mchafuko wa damu, maambukizi ya bakteria na maradhi mengine ambayo mgonjwa aendapo hospitalini hupimwa damu kabla ya tiba. JINSI YA KUANDAA MDALASINI Chukua gome moja la mdalasini weka kwenye sufuria kisha mimina maji kiasi cha glasi nane au lita moja na nusu hadi mbili, chemsha kwa dakika kumi hadi 15, kisha ipua na yaache yapoe (hata kwenye friji weka), halafu kunywa kila usikiapo kiu hadi utakapoyamaliza, iwe ndani ya mchana kutwa kwa muda wa siku tano hadi kumi. Mdalasini kitaalamu huitwa “sabuni ya kusafisha damu na njia zake”, huondoa maradhi yote yaliyojificha kwenye mishipa ya damu. Tahadhari: Mdalasini ni mmea kama ilivyo m...

Snura - Chura Dance | Tanzania women Twerking (Official Video)

Image

Snura - Chura Dance | Tanzania women Twerking (Official Video)

Image

NDOA ZA JINSIA MOJA

Image
Huko nchini Colombia, Mahakama imehalalisha rasmi ndoa za wapenzi wa jinsia moja. Colombia inakuwa nchi ya nne kuhalalisha ndoa hizo katika mataifa ya Kilatino. @EATV

UTATA WA KIFO CHA PAPA WEMBA..

Image
Hembu angalia hii video hapa chini Mtandao wa Kinshasa-makomba.com ametoa shutuma kuwa mwimbaji Papa Wemba aliyefariki wiki iliyopita kwa kuangaka jukwani ghafla hakufariki kwa kifo cha kawaida bali amewekewa sumu kwenye mic aliyekuwa akiimbia..Mtandao huo umekwenda mbali zaidi na kuweka video ikionyesha tukio zima jinsi alivyobadilishiwa mic na kuwekewa yenye sumu....

Mwili wa Papa Wemba Wawasili Kinshasa Congo

Image
Mwanamuziki huyo ambaye ametajwa kuwa mmoja ya waanzilishi wa muziki wa kizazi kipya cha Soukous anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne baada ya mwili huo kuwekwa katika uwanja wa mpira kwa raia kutoa heshima zao za mwisho. Maafisa wa serikali na wanadiplomasia watahudhuria ibada ya kumkumbuka mwanamuziki huyo katika uwanja wa ndege kabla ya mwili huo kupelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti. Tamasha la bure la usiku kucha lilifanyika mjini Abidjan ambapo mwanamuziki huyo alianguka alipokuwa akiimba.Mwanahabari wa BBC Tamasin Ford anasema kuwa mashabiki wengi walivalia nguo nyeusi na kubeba mishumaa ili kutoa heshima kwa nguli huyo wa muziki. Mkewe Papa Wemba na wasaidizi wake pia walikuwepo.

PAPA WEMBA ALIJITABIRIA KIFO

Image
Papa Wemba aliwahi kufanya mahojiano na mwandishi wa habari wa Sauti ya Amerika (VOA) nchini DRC Roger Muntu, ambaye pia alikuwa ni mtu anayefahamiana naye zaidi, na akamueleza kuwa anatamani akifa, afie stejini kwani ndiyo sehemu pekee ambayo hujihisi kama anapaa akiwa anaimba. “Alisema nataka nifie stejini, nataka siku zangu za mwisho ziwe jukwaani, nilipomuuliza kwa nini, alisema kwa sababu ndiyo kila muda ninapokuwa jukwaani nikiimba, nahisi kama ninapaa, hivyo ndoto yake ilikuwa kweli”, alisema Roger Muntu akimueleza Papa Wemba. Papa Wemba alifariki siku ya Tar 24 Aprili 2016, akiwa Abidjan nchini Ivorycoast kwenye tamasha la muziki, ndipo alipoanguka ghafla na kufariki dunia muda mfupi baadaye akikimbizwa hospitali. @EATV

PICHA YA PREZOO KWA DAYNA..ILIVURUGA NDOA YA DAYNA

Image
                                  Akizungumza na Enewz Dayna amesema kuwa alikutana na Prezo kabla ya yeye kuwa star mkoani Morogoro katika show ambayo yeye alimfata A.Y kwaajili ya project yake ya kimuziki. “Wakati nipo nao nikatamani kupiga nao picha ya kumbukumbu ambayo baadae mzazi mwenzangu alivyoiona ilikuja kuleta shida hadi ikapelekea tukakosa maelewano na baadaye tukashindwana”, alisema Dayna. Aidha Dayna akiizungumzia skendo ya yeye kutoka kimapenzi na rapper Roma Mkatoliki ameiambia Enewz kuwa yeye na Roma ni washikaji tuu na ushiriki wake katika harusi ya rapper huyo ni moja ya majukumu ya sehemu ya familia kwani kwa sasa yeye amekuwa ni mmoja wa familia hiyo.  Dayna amesema kuwa alikutana na Prezo kabla ya yeye kuwa star mkoani Morogoro katika show ambayo yeye alimfata A.Y kwaajili ya project ...

Diamond ft papa wembe ..R.I.P

Image
Pale DIAMOND akifanya Colabo na PAPA WEMBA

Mpoto akizungumzia Mashoga

Image

mashindano ya kukata viuno

Image
hatari sana,macho tuu yanahusika

USIKU WA ULAYA..MAN CITY VS REAL MADRID

Image
man city vs real madrid ule usiku uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu hatimae umefika.pale miamba ya  ENGLAND MAN CITY wakiwakaribisha miamba mingine kutoka HISPANIA REAL MADRID katika nusu fainali ya kombe la UEFA,mchezo utafanyika katika uwanja wa MAN CITY ambao ni ETIHAD wenye kuingiza mashabiki 55,097. beki wa MAN CITY Pablo Zabaleta zungumzia mchezo huo na kusema" madridi wanapenda kushambulia,hivyo wanaacha sana nafasi nyuma Roma na Wolfsburg walipata sana nafasi wakashindwa kuzitumia,sisi hatuuwachi" ni maneno ya Pablo Zabaleta