Posts

MICHEZO; Maharez awa tishio FACEBOOK

Image
 Staa wa LEICESTER CITY na timu ya taifa ya ALGERIA amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii,baada ya kunyakuwa tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa mtandao wa FACEBOOK. kwenye tuzo hiyo Mahrez amembwaka staa mwenzake ambae  ni JAMIE VARDY

Mirror ft Barakah da Prince..naogopa lyrics /mashairi

Image
[Intro] [Mirror] Kama nyota na mwezi angani Kama nyota na mwezi angani [Barakah Da Prince] Mwenzenu naogopa kuumia Mwenzenu naogopa kuumia [Verse 1 – Mirror] Usinipe namba ka unajua utajakuniuma Kupenda sio shamba, natamani na moyo unaniuma Mi mwana masikini kipato kidogo (kidogo) Uje uniache mimi uende kwa vigogo (ah vigogo) [Pre-Chorus – Mirror] Hata kama sipo Pendo langu lipo Mvua na mafuriko Hapa mbele ya maandiko Milele mpaka kifo Kwamba mi ni wako Wako, uh [Chorus – Barakah Da Prince] Sijutii maamuzi yangu ila naogopa kuumia Ndipo ilipo furaha yangu baby naogopa kuumia Usije ponza hisia zangu mwenzio naogopa kuumia Mapenzi ndio furaha yangu mwenzenu naogopa kuumia [Verse 2 – Mirror] Kama nyota na mwezi angani, niwe karibu nawe Natamani hata kama ungenipenda mimi tu (mimi tu) Ila kwingine usitamani, my baby, tuwe mimi nawe Natamani hata kama ungenipenda mimi tu (mimi tu) [Pre-Chorus – Mirror] Hata kama sipo Pendo langu lipo Mvua na mafuriko Hapa mbele ya maandiko ...

AJALI: Basi latumbukia kivukoni

Image
Inasemekana basi hilo lilikuwa linafanmya safari zake kutoka TANGA,DSM mpaka MOMBASA lilipatwa na dhuruba hiyo katika kivuko cha LIKONI kilichopo nchi ya KENYA. Hakuna taarifa juu wa ABIRIA WALIOKUWEMO HUO.. Narrow accident to the Mombasa Tanga Darassalam bound bus at Likoni Channel in Mombasa County.

KINYAMBE AFARIKI DUNIA..

Image
 R.I.P                                           Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwako Mbeya. Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitishia kuwa msanii huyo ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........

Image
NINI KAZI YA 'SHANGA ZA KIUNONI' KITANDANI NA NINI MAANA YA RANGI ZAKE. ,naomba tuongelee rangi za shanga kwa wale wanaopenda kuvaa shanga. Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa amawanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka. Wanaume wengi wanaopenda wanawakewao wavae shanga ili kusisimuana tu .Je mnafahamu zinamaanisha nini?. ...Karibu tujifunze pamoja. Katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka . Jana niliguswa sana na simulizi la rafiki yangu juu ya shanga, hivyo nikaona boraniandike na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi lake. ".........Nilikutana na boyfiriend wangu maeneo ya Shycom …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafublues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kuche...

VIDEO: Moja ya Harusi bora AFRICA....hembu jionee HII VIDEO

Image
    

Tambua uzuri wa mwanamke..soma hapa

Image
  Diamond platnumz na Zary ..Kweye kumbu kumbu ya kihistoria BAGAMOYO Uzuri wa mwanamke kwa wanaume umegawanyika. Wanaume wengi hupima uzuri wa mwanamke kwa sura au umbo, lakini linapokuja swala la kuoa, suala la tabia na mwenendo hupewa nafasi kubwa. Na ndiyo maana wakati mwingine unaweza kushangaa kukuta mwanaume ambaye ni hodari wa kuchagua wanawake wazuri, lakini ukija kumuona mke aliyemuoa, utakuta ni mbaya kwa sura na umbo (kwa mtazamo wa wengine), lakini kwa upande mwingine utakuta mke huyo ni mzuri katika maeneo mengine kama vile, tabia nzuri,upendo, wema, na anayemudu malezi ya watoto katika familia. Sifa nyingine ni zile za kumkubali mwingine kirahisi, kuwa tayari kusaidia yanapojitokeza matatizo katika familia, mpenda amani na kumfanya mume wake aone kuwa hakukosea kumchagua yeye kuwa mke wake. Kwa kifupi wanawake wa aina hii hata kama wangekuwa ni wabaya kwa sura na umbo bado (kwa mtazamo wa wengi) wapo kwenye nafasi ya kuonekana kuwa ni wazuri, na huolewa kira...

Leo imetimia miaka 35 tangu kufariki kwa BOB MARLEY

Image
Leo imetimia miaka 35 tangu kufariki kwa nguli wa muziki wa reggae duniani, Bob Marley. Robert Nesta "Bob" Marley ( 6 Februari 1945 - 11 Mei 1981 ) alikuwa mwimbaji na mwanamuziki muhimu kutoka nchini Jamaika . Alivuma hasa kunako miaka ya 1970 na 1980. Ameweza kuifanya staili ya muziki wa reggae kuwa maarufu sana duniani. Muziki wake mwingi ulikuwa unazungumzia hadithi za nyumbani kwake na dini ya Rastafari ambayo yeye alikuwa anaifuata. Kuna baadhi ya nyimbo zake zinahusu masuala ya dini na zingine siasa. Bob Marley alizaliwa na mama mweusi kijana aliyeitwa Cedella Booker na baba wa Kizungu aliyeitwa Norvall Marley. Wakati yungali bwana mdogo, marafiki zake walimpa jina la utani kama "Tuff Gong". [1] Ameanza kazi zake za muziki kunako miaka ya 1960 hivi akiwa na kundi lake la kina Wailing Wailers, ambalo alilianzisha akiwa na marafiki wawili, Peter Tosh na Bunny Wailer . Mwaka wa 1962, Bob Marley na kina Wailing Wailers wakafanikiwa kurekodi ny...

JIONEE SIMU 10 ZA GHARAMA DUNIANI

Image
 #1 – Falcon SuperNova Pink Diamond iPhone 6  ($95.5 Million) (Tsh190,000,000,000)  #2 – iPhone 5 Black Diamond  ($15.3 Million) (Tsh30,600,000,000)  #3 – iPhone 6 Amosu Call Of Diamond  ($2.7 Million) (Tsh5,400,000,000)  #4 – GoldVish Le Million  ($1.3 Million) (Tsh2,600,000,000)  #5 – Diamond Crypto Smartphone  ($1.3 Million) (Tsh2,600,000,000)  #6 – Gresso Luxor Las Vegas Jackpot  ($1 Million) (Tsh2,000,000,000)  #7 – Vertu Signature Cobra  ($310,000) (Tsh620,000,000)  #8 – Black Diamond VIPN Smartphone  ($300,000) (Tsh600,000,000)  #9 – Savelli Smartphone  ($250,000) (Tsh500,000,000) #10 – iPhone Princess Plus  ($170,400) (Tsh340,800,000)

UZIWI UNAWEZA KUTOKEA KWA KUTUMIA SPIKA ZA MASIKIONI

Image
Sauti kutokana na matumizi mabaya ya spika za masikioni ( earphones & headphones ) zaweza kutuweka katika hatari ya kupata uziwi. Katika zama hizi za maendeleo ya digitali, kumekuwepo ongezeko la matumizi la vifaa vya kielektroniki kama rununu, runinga na kompyuta. Matumizi ya vifaa hivi huambatana na spika za mezani pamoja na spika za masikioni ili kumraisishia mtumiaji kusikiliza na kufurahia muziki. Spika za masikioni zimetengenezwa ili kumuwezesha mtumiaji kusikiliza sauti kutoka katika kifaa chake wakati wowote atakapohitaji na hata kama amezungukwa na mazingira yenye kelele. Usikilizaji wa sauti ya juu au sauti kubwa kwa kutumia spika za masikioni kwa muda mrefu kunaweza kupelekea kupata uziwi pia hata uziwi wa moja kwa moja. Usikilizaji huu wa sauti kubwa ni hatari zaidi kwa watoto na vijana kwa kuwa hupendelea kusikiliza muziki kwa sauti ya juu aidha nyumbani au katika vilabu vya muziki, kwenye magari na hata kwa kutumia spika za masikioni. Sauti hupimwa kwa kutu...

AFYA; Umuhimu wa mazoezi

Image
  Mwili wa binadamu waweza kufananishwa na nyumba inayojengwa, nyumba hujengwa kwa matofali, simenti, chokaa na malighafi nyingine nyingi, na inahitaji ukarabati wa mara kwa mara ili iendelee kuwa nyumba bora, nyumba iliyoachwa kukaliwa na binadamu huchakaa haraka na pengine hubomoka kabla ya wakati wake. Mwili wa binadamu nao kama ilivyo nyumba una mahitaji yake, unahitaji chakula bora ili uendelee kubaki katika hali ya afya nzuri, pia unahitaji mazoezi ya viungo ili uweze kuwa imara na wenye nguvu. Mwili wa binadamu hata viumbe wengine(wanyama) unapokosa mazoezi hunyong’onyea na mifumo ya mwili hushindwa kufanya kazi vizuri inavyotakiwa. Mazoezi ya mara kwa mara au kufanya kazi zinazohusisha matumizi ya nguvu ya mwili yanasaidia mifumo mingi ya mwili kufanya kazi inavyotakiwa, mazoezi yatatuepusha na magonjwa ya moyo, kisukari, na hata magonjwa mengine hayataweza kushambulia miili yetu, na ni njia nzuri ya kupunguza uzito wa mwili uliozidi. Unapokuwa unafanya mazoe...

ADHARI ZA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

Image
   HISIA Miaka ya hivi karibuni imeibuka aina mpya ya kushiriki tendo la ndoa kwa mtindo wa kisasa ambao unahusisha mapenzi kinyume na maumbile. Suala hili linatokana na utandawazi  ambapo wanawake na wanaume  huiga mtindo huo kutoka mataifa ya magharibi  kupitia intaneti pamoja na video za ngono. Aidha wanawake na wanaume huiga staili hiyo ya kushiriki tendo la ndoa pasipo kuogopa madhara ya kiafya  yanayoweza kutokea kwa wanawake na wanaume. Mtindo huo unao onekana kuwa ni wa kisasa  una hatari kubwa kwa afya kati ya mwanaume na mwanamke. Kuiga iga mitindo ya  maisha ya  kimagharibi pasipo kuangalia madhara yake  ni hatari kwani watu wengi waliowahi kuhusika katika mtindo huo wanajutia maamuzi yao kutokana na madhara waliyoyapata. Yafuatayo ni madhara yanayoweza  kutokea kwa upande wa mwanaume: -Kuziba mirija  katika sehemu ya siri ya mwanaume Kwa upande wa mwanamke ni pamoja na Kupanuka na kusab...