Posts

Hii ndio tofauti kati ya Ronaldinho Gaucho na Jay Jay Okocha

Image
Ronaldinho gaucho vs Jay Jay okocha >>> kama Kuna kazi ngumu ni kusema Nani fundi Kati Yao kwa sababu Hawa watu wawil ni master skills duniani japo okocha hapewi heshima hiyo. Okocha >>> okocha ni mwalim wa Ronaldinho gaucho ukitaka kuamini hili angalia skills zao alafu mwangalie kila mmoja utagundua ninachokwambia. Kama Kuna wachezaji waliozaliwa na vipaji basi Jay Jay okocha ni kipaji haswaa kuanzia kufunga, skills, Dribbles, n. K Huyu alikuwa fundi.   >>> Ronaldinho Alipata muda mwingi wa kujifunza vitu adim kutoka kwa okocha kipindi wakiwa PSG na kipindi hicho dinho alikuwa anachoma mahindi benchi mbele ya mwafrika okocha. Hadi okocha alipouzwa kwenda Bolton England ndio dinho akaanza kupata namba PSG ya kudumu.   >> Kuna Swali watu wengi wanajiuliza kwa nini okocha hakupa mafanikio mengi akma dinho pamoja na ufundi wote huo Jibu ni kuwauliza Brazil mwaka 1996 chini ya kocha wao hatareeeeeee alieitwa zagar...

Basi la kampuni ya NBS Lapata AJALI

Image
u #HABARI Basi la kampuni ya NBS lililokuwa likisafiri kutokea Dar es salaam kwenda Tabora limepata ajali eneo la Gairo, huku taarifa zikisema watu 4 wamefariki na 10 kujeruhiwa. source @EATV

BASI LA TAHMEED LATEKETEA KWA MOTO

Image
 Basi la abiria mali ya Kampuni ya Tahmeed, lililokuwa likitokea Jijini Tanga kuelekea Jijini Dar es salaam, likiteketea kwa moto mchana huu katika eneo la Komkonga. Inaelezwa kuwa Ajali hiyo imetokea wakati Basi hilo likiwa limesimama baada ya Abiria mmoja kuomba msaada tutani WA KENDA KUCHIMBA DAWA" ambapo baadhi ya Abiria wengine nao walishuka na kusikia harufu ya tairi linaloungua. muda mchache tu tairi hilo lilipasuka na moto kuanza kusambaa hadi kwenye tanki la Mafuta. Hakuna mtu yeyote aliepoteza Maisha kwenye ajali hii na hakuna mali iliyoweza kuokolewa

Chidi Benz arudi kwenye game kwa hasira

Image

Diamond Platnumz Azungumzia Ali Kiba kusaini Sony Music

Image

Kala Jeremiah=Ukipenda pesa zake usitarajie ndoa

Image
                                  Kala Jeremiah amesema kwa mwanamke ambaye anampenda mwanaume au mpenzi wake kwa kigezo cha pesa ategemee kutumika tu kingono ila hawezi kuolewa na huyo mtu kwani hata yeye atakuwa anatambua wazi kuwa anapendwa kwa sababu ya pesa zake. "Kama unampenda mpenzi wako kwa ajili ya pesa zake basi usitarajie ndoa hapo. hapo ni ngono mwanzo mwisho. Maana na yeye anajua humpendi unapenda pesa. Hivyo na yeye hakupendi anapenda gemu tu" aliandika Kala Jeremiah @source EATV

Tiwa Savage kujiunga na ROC NATION ya Jay z

Image
                       Good News ,Tangu tumeuanza mwezi wa tano Mwaka huu kumekuwa na tetesi msanii kutoka afrika kusajiliwa chi ni ya lebo ya Msanii Maarufu dunia Jay Z Na taarifa zikufikie kwamba Tiwa savage msanii kutoka Nigeria amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kusajiliwa chini ya lebo kubwa duniani ya ROC NATION ambayo inamilikiwa na Rapa Jay z ambayo inasimamia kazi za Rihanna a .k.a Bad girl. Ifahamike kwamba kuingia Roc nation si kwamba Tiwa savage ameondoka kwenye lebo ya Marvin kikubwa Roc nation itahusika katika usambazaji wa kazi za tiwa savage.

R.I.P ..STEPHEN KESHI

Image
Stephen Keshi, who won the African Nations Cup as a player and manager with Nigeria, has died at the age of 54, the Nigeria Football Federation has announced. Keshi skippered the Super Eagles to Nations Cup glory in 1994 and was in charge of the side that won the competition three years ago. The NFF said on Twitter: “Nigeria legend, Stephen Keshi, dies at 54. Reports say the legend died in the early hours of Wednesday, RIP Big Boss.” Keshi earned the first of his 64 caps for Nigeria in 1981 and was an integral part of a backline that won the Nations Cup in 1994 and reached the last-16 of that year’s World Cup. His playing career also included a spell with Belgian club Anderlecht before he turned his hand to management, with three spells in charge of Togo and a two-year tenure with Mali. He took the reins at Nigeria in 2011 and became only the second man to win the Nations Cup as a player and manager when the Super Eagles defeated Burkina Faso in the fin...

Angalia RED CARD 10 ambazo sio halali

Image

Mwana FA afunga ndoa

Image
msanii mwana FA aamua kuukimbia ubachela na kuvuta jiko ndani kiuhalali kabisaa..japo kwenye nyimbo yake alisema kwamba hatarajii kuoa labda azeeke zeeke kwanza. MwanaFA Jumamosi ya Juni 5 alifunga ndoa na mchumba wake Helga ambaye pia na mama wa mtoto wake.

Muhammad Ali amefariki dunia..Angalia historia yake hapa VIDEO

Image
Nguli wa ndondi duniani Muhammad Ali amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 74

The Mermaid 2016 | Full Movie

Image
Title : The Mermaid 2016 Genre : Action Directed by : Stephen Chow Cast : Deng Chao, Show Luo, Zhang Yuqi, Lin Yun Release dates : 8 February 2016 Running time : 94 minutes Country : China (Hong Kong) Description : Playboy business tycoon Liu Xuan (刘轩, played by Deng Chao) purchases the Green Gulf, a wildlife reserve, for a sea reclamation project, and uses sonar technology to get rid of the sea life in the area. Unknown to him, the Green Gulf is the home of merpeople, and the sonar has caused many of them to die or get sick. The few survivors live in an abandoned shipwreck in the gulf, and want to assassinate Xuan for his deeds. The merfolk send Shan (珊, played by Lin Yun), a beautiful mermaid who's trained to walk on her fins and hide among humans, in a "honeytrap" plot against Xuan. On the night of Xuan's party celebrating his success, Shan, pretending to be a dancer, gives her telephone number to Xuan. ----------------------------------- The Mermaid 2016 | Ful...