Posts
Baraka Da Prince & Ben Pol Ft. Mr Blue - Mwambie ..Lyrics/mistari
- Get link
- X
- Other Apps

[Verse 1 – Barakah Da Prince] Ningelianza mi nisingeliwaza ah ah Ah, niliwekeza mapenzi yangu Moyo wangu, kwake kabisa nikafungua Kuwekeza maisha yangu Ishara yangu ilikuwa ni upendo Mi sikudhani maumivu yangu Jeraha langu, tena kama lingejirudia Maake nilimukabithi mali Nikamupa upendo wote Nilichekwa mpaka na marafiki Kwa kutendwa ila sikuambilika Ningemuweza wapi mimi mwenye dhiki Kwa uzuri alokuwa nao? Mwenye ladha kipenzi mi sikuambilika Kwa kujua ni yawalimwengu Mwisho kwake yeye mi sikuthamani Mi wa kazi gani akanambia [Chorus – Barakah Da Prince] Nenda mwambie… Maumivu alonipa kumpenda sitochoka Ameweka historia Nikifa asilie Maana chanzo cha maumivu ya kunikondesha Mwambie ni yeye [Verse 2 – Ben Pol] Hata majirani wana… kosa neno la kusema Juu yako wewe, mrembo wewe Hata na wazazi wana… uliza hii ni nini tena? Kumbe nawe ndo wale wale Mbona hukusema mapema? Kama kwako sina maana Ningejitaftia mwingine Kama ulivyo na mwingine Mb...
G Nako ft Nikki Wa Pili & Chin Bees - Arosto ..Lyrics/mistari
- Get link
- X
- Other Apps

[Hook 1 – G Nako] Gari umeniwasha, eh Na hii arosto yangu, nani aniponye? Gari umeniwasha, eh Na hii arosto yangu, nani aniponye? Gari umeniwasha, gari umeniwasha Gari umeniwasha eh Gari umeniwasha, gari umeniwasha Gari umeniwasha eh [Hook 2 – Chin Bees] Uu uh arosto, usiniache na arosto Baby baby uh uh Arosto, usiniache na arosto Baby baby uh uh Arosto, usiniache na arosto Baby baby uh uh Arosto, usiniache na arosto [Verse 1 – G Nako] Nikaanza peleka round kwanza Nikamuendea kumuombea tenga mamaa Nkamvuta chemba, tema cheche kadhaa Kumuomba denda akaniambia “tamaa Mbona less, hata kujuana jamaa” Nikaenda less sikushtuka kwamba Labda huyu sio demu wa majina na material Ni ngumu kumpa vina aingie interior Mi huwaga OG, hujasikia “Original”? Nataka nikumiliki sitaki kiki no! [Pre-Hook – Chin Bees] Ou ou uh Nakusakanya kila kona sikuoni Napaperemba, uko wapi mamii? Nakusakanya kila kona sikuoni [Hook 1 – G Nako] Gari umeniwasha, eh Na hii ar...
MICHEZO: Van Gaal afukuzwa
- Get link
- X
- Other Apps

asa ni rasmi, Manchester United wamemfukuza kazi kocha wao, Louis van Gaal, siku mbili tu tangu alipowapatia Kombe la FA kwenye fainali iliyopigwa dhidi ya Crystal Palace dimbani Wembley. Van Gaal anaondoka na wasaidizi wake wote wa Kidachi kwenye benchi la ufundi, Albert Stuivenberg, Frans Hoek na Max Reckers ambapo Jose Mourinho ataichukua nafasi hiyo. Ikumbukwe kwamba Mourinho alikuwa msaidizi wa Van Gaal klabuni Barcelona. Kocha huyo wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uholanzi, Bayern Munich, Bercelona, Ajax na Az anaondoka kwa sababu uongozi na wamiliki wa Man United hawaridhiki na aina ya ufundishaji wake na timu kumaliza katika nafasi ya tano kwenye Ligi Kuu ya England. LVG aliwasili kwenye uwanja wa mazoezi wa Carrington asubuhi ya Jumatatu hii kama kawaida, lakini akiwa na sintofahamu juu ya hatima yake, kisha akafuatiwa na wakili wa Chama cha Makocha wa Ligi, Paul Gilroy QC, ambaye amefanya kazi kwa muda mrefu huko. Baada ya Makamu Mwenyekiti Mtendaji, Ed ...
NJIA ZA KUIMARISHA MAHUSIANO...
- Get link
- X
- Other Apps

Mambo mengi hutokea katika mahusiano na pia miaka ya hivi karibuni mapenzi mengi huvunjia kutokana na sababu nyingi saana.maisha yamebadilika na pia utandawazi umekuwa saana Iliukuze mahusiano yako na mpenzi wako lazima upitie hizi njia 1.MTIE MOYO KILA WAKATI MPENZI WAKO inamaana kuwa nae karibu iliujuwe ni nini kinamsumbua jaribu kufariji hata kama haunauwezo wa wewe kumsaidia matatizo yake.mjali kila muda hii yote inatakiwa muwe mnavifanya sio kwa mwanaume tu au mwanamke tu. 2.MUONESHE POPOTE maana yake pale unapokuwa labda mnatoka au kakutembele kazini munyeshe ufuraha kuwa yeye ni muhimu kwako..mtambulishe kwa wenzako aliowakota hapo..jiweke mazingira ya kimapenzi pale unapokuwa na mpenzio..ukaribu huu unasaidia kila moja kujua kuwa wanamaanisha kwenye mapenzi..pale unapotembea nae sio lazima mshikane mikono tu..hata kuwa karibu sana yaani kusogeleana.. 3.FURAHI NAE (CHEKA) Hii inamaana kuwa kama mtakuwa na furaha k...
Njia ya Kufanya Kama Mwanamke Hataki Kujibu Texts Zako
- Get link
- X
- Other Apps

inatoke ndo mwanamke unaedhani atazima ndoto zako za kuwa mwanamke uanempenda alafu anakuwa hajibu text zako.kiukweli kama mwanaumke hajibu text zako tena muhimu huwa mwanaume anakuwa na hasira sana na pia anakuwa kwenye mawazo saana UNAJUA SABABU NI NINI..? Moja ya sababu zinazopeleke mwanamke kushindwa kukujibu text ni kutokana na mazingira yake..mfano anapika au yuko makini na kazi zake au anasoma.inatakiwa mwanaume ujuwe muda huo unaomtumia text huwa ankuwa mazingira gani..hii itasaidia wewe kuwa na moyo hata wakuendelea kumpenda au kumfukuzia .. 1.MWAMBIE UKWELI WAKO Mwanaume unatakiwa ufunguke mara ya kwanza unapokutana na huyu mwanamke hata kama kwenye mitandao ya kijamaii..onyesha uchangamfuu wako kwake 2.ONESHE UMUHIMUHI WAKE KWAKO hii itasaidia yeye kukuona unakukaribu na yeye na kukufanya uwe karibu saana..pia unakuwa unampa jkuda wa yeye kufanya jambo lake kwa wakati..mfano..kama amekwambia anapika .mwambie haya pika kwanza hii ni njia ya yeye kuona una...
MAHITAJI SITA YA KIHISIA KWA MWANAUME
- Get link
- X
- Other Apps

1. Kuaminika (Trust) - Mwanaume anahitaji kuaminika. Ni vizuri sana kujua unaaminiwa. Kuhusiana na maamuzi ya kifedha, Maamuzi yanahusiana na malezi, n.k. Kwa mwanaume kuhisi anaaminiwa, Mwanamke anahitajika kuwa mu-wazi na kueleza mahitaji yake pasipo kificho ama hila. Kwa kuwa hili ni jambo la asili kwa mwanamke, mwanamme anatakiwa kuwa makini kwa mwanamke anapokuwa anazungumza. Anapofanya hivyo, hitaji la kwanza la msingi la kihisia la mwanaume linakuwa limetimizwa. Endapo mwanamme anahisi kuwa anaaminiwa, hitaji la mwanamke la kujaliwa nalo linakuwa limetimizwa. 2. Kukubalika (Acceptance) - Wakati unapoweza kwa dhati na kwa uwazi kumpokea mwanaume na "mapungufu yake" yote, anahisi kukubalika. Hili ni la muhimu kwa afya ya hisia za mwanaume katika mahusiano. Mara ya kwanza, unaweza usihisi kama anafanya kile unachotaka afanye ili kukusaidia. Kama utamkubali kwa jinsi alivyo na ukafanya juhudi za kupata msaada zaidi pale ambapo unakuwa unauhitaji, ataj...
Mabaki ya ndege ya Misri yapatikana
- Get link
- X
- Other Apps
Jeshi la Misri limepata mabaki ya ndege hiyo kilomita 290 kaskazini ya Cairo. Baadhi ya mizigo ya abiria waliokuwemo ndani ya ndege hiyo pia imepatikana. Kinachotafutwa sasa ni kisanduku cha mawasiliano au "black box" Ndege ya Misri. Juhudi za kutafuta kisanduku kinachorekodi mawasiliano au Black box cha ndege hiyo inaendelea. Ndege hiyo ya Misri ilianguka usiku wa kuamkia Alhamisi ikiwa na abiria 66 miongoni mwao wahudumu wa ndege hiyo. Shughuli ya kutafuta mabaki yake ilianza jana na sasa imezaa matunda baada ya kupatikana kwa mabaki ya ndege hiyo kilomita 290 kutoka Cairo pamoja na baadhi ya mizigo ya abiria waliokuwemo ndani yake pia imepatikana. Waziri wa safari za anga nchini Misri amesema uwezekano kuwa ndege hiyo ilishambuliwa kigaidi angani ni mkubwa kuliko hitilafu za mitambo kusababisha kutoweka kwake. Waziri mkuu wa Misri Sherif Ismail alipoulizwa uwezekano wa njama ya kigaidi katika mkasa huo amejibu kuwa hawapuuzilii sababu yoyote ina...
Ajali ya meli ya MV Bukoba iliyotokea mwaka 1996 (miaka 20 iliyopita) siku kama ya leo
- Get link
- X
- Other Apps

Siku ya LEO tarehe 21 Mei ni siku ya kumbukumbu ya ajali ya meli ya MV Bukoba iliyotokea mwaka 1996 (miaka 20 iliyopita) katika Ziwa Victoria. Mabaki ya miili ilizikwa sehemu moja katika eneo la Igoma jijini Mwanza. Kupitia kwa Mwanamitindo wa Kimataifa @FlavianaMatata chini ya # FlavianaMatataFoundation wanafanya semina za Usalama wa vyombo vya majini na kushiriki kwenye misa ya kuwaombea wahanga wa ajali hiyo. Flaviana ni mmoja kati ya watu waliopoteza ndugu (Mama) zao kwenye ajali hiyo na amekuwa akifanya kumbukumbu hii kila mwaka. # MvBukoba20 # UsalamaMajini
Je wajua kuwa vidole vyako ndiyo mafanikio yako?? basi soma hapa….
- Get link
- X
- Other Apps
je vidole vyako viko A, B au C???? Mdau wangu wewe uko upande upi? (A) Kidole cha pete kikiwa kirefu kuzidi cha shahada Watu ambao vidole vyao vya pete ni virefu kuzidi kidole shahada huwa wana haiba na baadhi yao sura zao huvutia. Tena watu wa namna hii huwa hawana aibu na wanaweza kuzungumza kitu chochote bila kuogopa na mara nyingi wanakuwaga wagomvi pia huweza kutatua matatizo kwa haraka. Hata hivyo watu hawa wengi wao ni wenye huruma, wanasayansi, wahandisi, askari na viongozi. (B) Kidole cha pete kikiwa kifupi kuliko cha shahada Mara nyingi Watu wenye kidole kifupi cha pete kuliko kidole cha shahada ujiamini lakini wanapenda kujitenga na wenzao na wakiamua kufanya kazi ukamilisha kwa haraka lakini kazi zao uwa na walakini. Pia watu hao malengo yao hutimia kutokana na kwamba hawapendi usumbufu. (C) Kidole cha pete kikilingana na kidole cha shahada Watu ambao vidole vyao vya pete na shahada vinalingana mara nyingi ni watu wa amani,upendo na uepuka sana migogoro pia watu h...