Tatizo la kutokea kwa michirizi Mwilini inaweza sababishwa na madhara ya kunywa madawa ya aina fulani, au ukipaka mafuta, au krimu kali kwenye ngozi husababisha uharibifu wa ngozi nanakutokea kwaa michirizi hiyo {Stretch marks}. Uzuri ni kuwa, huu si ugonjwa. Waweza kuondoa michirizi hiyo au kupunguza kwa asilimia kubwa muonekano wake. Uwapo wa michirizi mwilini ni tatizo linalowasumbua wengi. Michirizi huweza kutokea shingoni,tumboni,mikononi,mapajani na hata kiunoni. Watu wengi huangaika kutafuta dawa ya kuondoa tatizo hilo bila mafanikio. Ni tatizo linaloleta muenekano mbaya hasa mhusika akivaa nguo za wazi. Moja ya njia ya kutoa michirizi ya mwili Unywaji wa maji mengi,angalau glasi kumi kwa siku,ulaji wa mboga za majanu na vyakula vyenye wingi wa vitamin C na E sambamba na madini ya Zinc na Silica ikiwamo karoti,spinachi na maharage mabichi. Vilevile matumizi ya juisi ya limao ambayo unaweza kuipaka kwenye maeneo yenye michirizi. Unapotum